Hawa Tipper ni jipu

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
Hawa Tipper ni wasaani sana Wizara ya kazi iwachunguze walituita kwenye interview halafu baada ya cku moja tukapigiwa cmu interview imeahirishwa tutatangaziwa baadae baada ya week wakanipigia cmu eti pole sana haukuchaguliwa lakini tutakuweka kwenye data base yetu ikitokea nafasi. Nikawauliza interview ilifanyika lini? Kwa sababu mliiairisha na mbona humkutuarifu cku ya interview? Kumbe walikua na watu wao cku ya kuairisha interview ilikua hujuma ili waudhurie wachache ndugu zao. Naomba kuwasilisha
 
Hawa ndio wanahifadhi mafuta yote yanayoingia nchini wapo kigamboni
 
Hiyo ni kansa,mzee magufuli atawashughulikia tu.
1462098245830.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom