symwo
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 152
- 49
Niliomba kazi mbili tofauti ZOOM kampuni moja inaitwa TIRD jingine TANZANIA LABOUR FOUNDATION COMPANY,cha kushangaza namba ya simu moja imenitumia msg tofauti eti naitwa kwenye interview kwa kazi mbili tofauti tena makampuni mawili tofauti jana walinitumia msg "
Habari,
Kesho tarehe 27/08/2015, saa tano na nusu asubuhi, unatakiwa kufika office zetu zilizopo maeneo ya Mazense Daraja jengo la Wanama house, ghorofa ya Nne, chumba namba Mbili, kwa ajili ya kuchukua fomu ya Usahili zitakazo gharimu kiasi cha shlng Elfu kumi na unatakiwa kufika na Vyeti vyako Original.
Ahsante."........walivohusisha hela tu moja kwa moja nkajua matapeli,sasa walivoona sijaenda wakatuma msg nyingine leo "Habari, Tanzania Labour Foundation Company, inakuharifu kufika katika interview siku ya kesho trh 28 itakayofanyika manzese darajani, jengo la wanama house, kwanzia saa nne kamili asubuhi. INTERVIEW NI BURE, HAKUNA MALIPO YA AINA YEYOTE ILE. Fika pamoja na vyeti vyako copy na original.".......sasa hawa si wanataka niende manzese wakanikabe hawa
Namba iliyotuma msg ni 0688328413