MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,695
- 42,762
Juzi nimeangalia ITV Habari nikaona QNET wamefanya utapeli wao tena huko Same, Kilimanjaro. Utaratibu wao ni uleule wa kuwakusanya vijana toka sehemu mbalimbali na kuwapa matumaini hewa ya maisha. Yaani vijana wanakuwa kama misukule.
Kesi za QNET ni nyingi sana kiasi kwamba najiuliza kama wako juu ya sheria na hawagusiki. Hawa jamaa hawaharibu uchumi tu.. wanaharibu akili za vijana pia. Kama serikali iliweza kumtimua tapeli kiboko ya wachawi inaweza pia kuifutilia mbali hii kampuni ya kihuni ili kuokoa vijana.
Wapoyaani hadi sasa bado kuna watu wanatapeliwa na hao jamaa.π π π π
Yaan hao jamaa walishajulikana kuwa ni matapeli ila nashangaa bado watu wanaendea kupigwa.π π π πBongo ujinga mwingi sana, hiyo LBL yenyewe ilivuna mpaka wasomi tena waajiriwa wa taasisi kubwa
Watu waache tamaa aisee.ππππππWazee wa good morning π
Acha kuharibu fursa za watu.Juzi nimeangalia ITV Habari nikaona QNET wamefanya utapeli wao tena huko Same, Kilimanjaro. Utaratibu wao ni uleule wa kuwakusanya vijana toka sehemu mbalimbali na kuwapa matumaini hewa ya maisha. Yaani vijana wanakuwa kama misukule.
Kesi za QNET ni nyingi sana kiasi kwamba najiuliza kama wako juu ya sheria na hawagusiki. Hawa jamaa hawaharibu uchumi tu.. wanaharibu akili za vijana pia. Kama serikali iliweza kumtimua tapeli kiboko ya wachawi inaweza pia kuifutilia mbali hii kampuni ya kihuni ili kuokoa vijana.
Kwamba na wewe ni mmoja wao.π³π³π³π³Acha kuharibu fursa za watu.
Tumewekeza fedha nyingi sana kwenye huo mradi.
Mimi ni meneja wa Kanda ya Magharibi yaani Tabora na Kigoma.Kwamba na wewe ni mmoja wao.π³π³π³π³
are you serious?.π€£π€£π€£π€£π€£Mimi ni meneja wa Kanda ya Magharibi yaani Tabora na Kigoma.