Hawa Paka Wangu Siwaelewi

Mkuu hao paka wako kawapime mkojo faster maana sio kwa mgegedo huo wa mbele za watu
 
Mkuu sio kweli kuwa toka wazaliwe hawajalia, maana siku ile wamezaliwa walilia na wewe ulisikia kama sio kuona
 
Nilikuwa nimewawekea sumu kwenye chakula wakula nimetoka sasa hivi nje nimekutana nao wako buheri wa afya tena bega kwa bega
 
Nilikuwa nimewawekea sumu kwenye chakula wakula nimetoka sasa hivi nje nimekutana nao wako buheri wa afya tena bega kwa bega
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] paka hawafi kirahisi rahisi
 
Haaahaahaha duuu lakini nnavyojua paka hawafanyi mapenzi yao hadharani wana staha sana,tena wanasema ukiwaona ni uchuro lol....hao wako si wa nchi hii warudishe tuu kwao watawafundisha watoto tabia mbayaa[emoji12] [emoji12] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuwa nimewawekea sumu kwenye chakula wakula nimetoka sasa hivi nje nimekutana nao wako buheri wa afya tena bega kwa bega
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ushalewa ngapi mpaka kuandika hii thread
 
Hahahahaha
 
MKUU NIGEE MIE
PAKA WANGU MIE NI DUME LKN HAJAWAHI HATA KUTAMANI DEM
HADI NAMUHISIA LABDA NI SHOGA
ITAPENDEZA ZAIDI NIKIWAPATA HAO LABDA WATAMPA AMSHA AMSHA
 
utawaelewa tu maana unafanana nao kiakili
 
Nadhani umekosea Jukwaa mkuu ungepeleka Chit_chat ingekuwa poa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…