Hawa Paka Wangu Siwaelewi

taratibu mkuu mbavu hazina spea ujue
 
Mkuu mm nimesikia Wanyama ukiishi nao kwa wema Mkashabihiana basi mnakuwa mnarishishana hadi Tabia.., hao wadogo itakuwa ni Viburi tu jaribu kuwaandalia Dozi ya Makofi watalia tu!!!
 
Mkuu mm nimesikia Wanyama ukiishi nao kwa wema Mkashabihiana basi mnakuwa mnarishishana hadi Tabia.., hao wadogo itakuwa ni Viburi tu jaribu kuwaandalia Dozi ya Makofi watalia tu!!!
Hujaona hapo anasema amesha "wa dash out" sijui ndio ame wakili au amewatupa.
 
Mkuu basi hata kapicha tu ka black &white ili kunogesha habari
 
ungewa sterilize tu hao
 
Wewe mfugaji ndio mwenye makosa, ni vibaya kuwaacha Wanyama/mifugo wenye nasaba kupandana/kuzaa.

Ungemuondoa huyo Mtoto, then utafute paka dume kutoka mbali huko.

Hitilafu ya hivyo vitoto ndio matokeo ya kuzaa ndugu.
 
JF raha sana unacheka huku hutaki eti vichechere vinyegezi daaah mkuu umenifurahisha sanah agiza kinywaji chochote nitalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…