Hi wanajamii! Jamani kuweni makini hata mimi ameshanitumia email hiyohiyo zaidi ya mara 4 kwa majina tofauti na mwisho wa siku anataka hela au akaunti namba ukitoa tu akaunti namba yako umeliwa,watu wengi sana wanatumiwa the same email.baadhi ya majina anayotumia ni Nancykuma,tracykuma,na mengine utamgundua kwa maneno huwa ni yaleyale kisha anakutaka usimwambie mtu iwe siri anajua mtamstukia,poleni mliolizwa,