masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,773
- 14,865
Naona itabidi tumwite mzee Ali Hassan Mwinyi hapa JF afafanue!Alipo sema hapo ndipo pabaya na nipatamu alikuwa anamaanisha nn na ni wapi?
Naona itabidi tumwite mzee Ali Hassan Mwinyi hapa JF afafanue!Alipo sema hapo ndipo pabaya na nipatamu alikuwa anamaanisha nn na ni wapi?
Waache waroho,watafune nyama,chamoto watakionaHabari za kazi wapendwa.
Huko Malawi kunaugonjwa wa Nguruwe, ambapo serikali yao makini, imekataza/imezuia kuchinja wala kuuza nguruwe, sehemu yoyote ile, hata walio hudhuria minada ya hivi karibuni kule wanalitambua hilo.
Tatizo ni kwetu hapa Tanzania, hivi sasa, Nguruwe hao, wanavushwa kwa nja za panya, na kuuzwa kwetu huku Tanzania (wilaya ya Kyela).
Wanapitisha Nguruwe hao, kupitia vijiji kama Kabanga, Ndwanga, katumbati, nk.
Jamani mamlaka husika, tunaomba mlifuatilie suala hili, binafsi nmejipa rikizo ya kula mdudu kwa muda.
Leo hii kuna pawatila inasombelea Nguruwe kupitia Kabanga.
Nawasilisha.
watanzania hatuko makini na chochote kile... kwa sasa watanzania walio na matatizo ya makovu au minyoo ya kwenye ubongo (kwasababu ya tegu) ni wengi sana, na wengine wanakufa ghafla tunasema mishipa ya damu ilipasuka kwenye ubongoHabari za kazi wapendwa.
Huko Malawi kunaugonjwa wa Nguruwe, ambapo serikali yao makini, imekataza/imezuia kuchinja wala kuuza nguruwe, sehemu yoyote ile, hata walio hudhuria minada ya hivi karibuni kule wanalitambua hilo.
Tatizo ni kwetu hapa Tanzania, hivi sasa, Nguruwe hao, wanavushwa kwa nja za panya, na kuuzwa kwetu huku Tanzania (wilaya ya Kyela).
Wanapitisha Nguruwe hao, kupitia vijiji kama Kabanga, Ndwanga, katumbati, nk.
Jamani mamlaka husika, tunaomba mlifuatilie suala hili, binafsi nmejipa rikizo ya kula mdudu kwa muda.
Leo hii kuna pawatila inasombelea Nguruwe kupitia Kabanga.
Nawasilisha.
Mwakyembe huku hayupo, tokea kipindi cha mafuriko, hajaja tena.
Gonjwa hili baya limeingia pale ambapo sisi sote wakubwa kwa wadogo twapapenda "Sorry sikumbuki ni kiongozi gani alisema hii"
anapopitia mtoto azaliwapo, jina lake gumu kulitaja!Alipo sema hapo ndipo pabaya na nipatamu alikuwa anamaanisha nn na ni wapi?
watanzania hatuko makini na chochote kile... kwa sasa watanzania walio na matatizo ya makovu au minyoo ya kwenye ubongo (kwasababu ya tegu) ni wengi sana, na wengine wanakufa ghafla tunasema mishipa ya damu ilipasuka kwenye ubongo
we seriously need mbakora kwa kila age