Hawa ndo walimu wanoko.

Hawa ndo walimu wanoko.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1437587418.312675.jpg
 
anastahili ufanyakaz bora,ila enzi zangu akipita chini ya bweni anakuj flash ya nguvu
 
anastahili ufanyakaz bora,ila enzi zangu akipita chini ya bweni anakula flash ya nguvu
 
pimbi tu angekuwa mwalimu tambaza angekoma enzi hizo
 
Kweli ualimu... simu zimekosa nini? Je, angewakuta wanafunzi wanafanya ngono bwenini angefanyaje? Ubongo wa mwalimu huyu ni wa kondoo!
 
Kweli ualimu... simu zimekosa nini? Je, angewakuta wanafunzi wanafanya ngono bwenini angefanyaje? Ubongo wa mwalimu huyu ni wa kondoo!

Kwanza we unafikiri kupasua simu ya mtu mchezo, huyo kashika jembe then wamempiga picha tu!
 
Mnamfanyaje?

Hujazaliwa wewe enzi hizo! Na kama ulikuwa umezaliwa basi Dar hujawahi kuisikia.

Anyway huyu mwalimu hajakutana na Wazazi watata-
@Bavaria shule gani hii na iko pande gani TZ hii?

Kama mimi ni mzazi huyu mwalimu simu atalipa ! Kanuni ya kuvunja mali ya mtu hakuna na hatua ya juu kabisa dhidi ya mwanafunzi nikufukuzwa shule.


 
Kama wewe sio mwalimu huwezi jua...........mzazi anasafiri toka mbeya hadi moshi ishu mafua halafu staff haijui chochote.......mimi nazi_sell na cash nachikichia
 
Back
Top Bottom