Wasalaam
Watanganyika tunapodai katiba mpya tunaebuisha hii aibu isiendelee kulikumba taifa. Angalau mtanganyika anaegombea ubunge awe na degree moja na sio sifa ya kujua kusoma na kuandika.
Hao ndo wabunge wetu wanaojadili bajati ya serikali 2025/2026, unategemea nn?
Ndo maana wengine wanasema no reforms no election.