Hawa ndo taifa teule la Mungu

Hawa ndo taifa teule la Mungu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,398
Hawa ndo walioandikwa kwenye maandiko?? hawa ndo wale walioahidiwa ile nchi miaka 3000 iliyopita?

Hawa ndo kizazi cha Ibrahim na Daudi?
images (1) (8).jpeg
images (1) (9).jpeg
images (1) (10).jpeg
 
Hawa ndo walioandikwa kwenye maandiko?? hawa ndo wale walioahidiwa ile nchi miaka 3000 iliyopita?

Hawa ndo kizazi cha Ibrahim na Daudi?View attachment 3452619View attachment 3452620View attachment 3452621


Biblia hudai Wayahudi ni watu teule wa Mungu, lakini Musa, Yeremia na Isa hawakuwasifu bali waliwakemea kwa ukaidi na uuaji wa manabii.


Musa alisema: “Ninajua ukaidi wenu na shingo zenu ngumu; baada ya kufa kwangu mtaasi kabisa na kugeuka kutoka njia ya Bwana.” (Kumb. 31:27-29)


Yeremia alisema: “Mnajidai kuwa na torati ya Bwana, lakini kalamu ya waandishi imeigeuza kuwa udanganyifu.” (Yer. 8:8)


Yesu alisema: “Ee Yerusalemu, wewe uuae manabii na kuwapiga mawe waliotumwa kwako…” (Math. 23:37)
 
Unabisha ulikuwepo?....na wewe una uhakika muddy ni mtume kweli?..maana Kuna sehemu nimesoma muddy alikuwa mwizi madina na Kuna siku aliiba ngamia watu walimdunda mpaka wametoa jino
kwa akili ya kuweka sanamu la mzungu lenye nepi msalabani na kuliabudu!
 
Back
Top Bottom