Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wengi nafikiri mmesikia hivi karibuni kuhusu kurushwa kwa documentrary na kituo cha Utangazaji cha Uingereza BBC kuhusu huwo unaoitwa uhusiano kati ya Papa Yohane Paulo wa Pili na Mwanamke fulani wa muda mrefu, kumekuwa na maswali mengi hasa ktk kutoka kwa waumini wa dhehebu hilo ukichukulia kwamba Papa ni Mkuu wa Kanisa hilo na hapaswi kuwa na mahusiano ya kimwili na ingawaje hawajasema kama alikuwa na mahusiano ya kimwili lkn ndiko wanakoelekea!
Sasa mnajua ni ya nini yote haya? Sababu kubwa ni hii, Wazungu wa Magharibi wakiongozwa na Marekani wako kwenye vita baridi dhidi ya Wazungu wenzao wa Urusi hasa kuhusu la nchi ya Syria ambapo Wayahudi ambao ndiyo wanawaongoza na kuwatumia Wazungu wa Magharibi kama Misukule hawamtaki Kiongozi wa Syria Asadi wakati Asadi ni mshirika wa Urusi sasa fujo yote Duniani iko hapo kuanzia wakimbizi Ulaya, Isis, IS mpaka Boko Haram kila kitu kiko hapo!
Sasa kilichotokea ni kwamba sasa hivi Asadi anaelekea kuwashinda waasi ambao wamekuwa wakisaidiwa na Wazungu wa Magharibi chini ya msaada mkubwa ktk kwa Urusi na anakaribia kuuchukuwa Mji wa Alepo ambao ndio ngome ya waasi sasa Kanisa Katoliki linaingiaje hapo?
Ni hivi, hivi majuzi Mkuu wa Kanisa Katoliki Papa Fransisko amekutana na Mkuu wa Kanisa la Orthodox la Urusi (Urusi nao wana Kanisa la lao) kusifu na kuunga mkono juhudi za Urusi kupambana na ugaidi wa ISIS huko Syria sasa hilo ni kosa kubwa na ndiyo maana Wazungu chini ya uongozi wa Wayahudi wameamua sasa kulibomoa Kanisa Katoliki kwa kufanya hivyo yaani kushirikiana na adui yao, Urusi
Na kwa kuwa wanamiliki vyombo vya Habari yaani wao Wayahudi ndiyo wanaamua ni Habari ipi tuisome na ipi tusiisome na tuisome vipi na mara nyingi anayeshambuliwa na vyombo hivi vya Wayahudi huwa hana mahali pa kujitetea kwa maana hana vyombo vya habari sasa ni nani atakusikia?!
Hivyo hao ndiyo Wazungu walivyo ni somo kubwa sana kwa Waafrika wenzetu ambao kutwa nzima wanakesha wakijaribu kusikiliza kila kitu Wazungu wanachosema na kukifwata, tena utasikia ili anachokisema (Mwafrika) kiaminike atasema chanzo ni BBC kwamba kwa Mwafrika BBC ndiyo ultimate truth inachosema BBC ndiyo ukweli lkn wanasahau kwamba BBC ndiyo iliyosema Sadamu ana silaha za Nyuklia ambapo ni uongo na sasa pia BBC hiyo hiyo imeanzisha vita dhidi Kanisa Katoliki kwa kusema uongo ikimbukwe kwamba nchi ya Uingereza au niseme ufalme wa Uingereza ambao ndiyo mmiliki wa nchi hiyo ya Uingereza ni adui mkubwa wa Kanisa Katoliki hata vita inayoendelea nchini ya Ireland Kaskazini (Belfast) ni dhidi ya Wakatoliki wa huko, Ufalme wa kichawi wa Uingereza haulitaki Kanisa Katoliki huko!!
Hivyo kuweni waangalifu sana na vyombo vya Wazungu msivichukulie kama ndiyo UKWELI, kumbukeni vipo kwa ajili ya maslahi yao na chochote watakachokisema kuhusu nchi yetu iwe ni kwa ubaya au uzuri ni ajili ya maslahi yao!
Papa Fransiskus alipokutana na Mkuu wa Kanisa la Urusi Kirill