hawa ndiyo wabunge wa CCM

hawa ndiyo wabunge wa CCM

hapa naona Komba alimwaga radhi,hebu mcheki idd azan(mwenye njano) na yule mpiga vyombo far back wanavyoshangaa na kufurahia.
 
attachment.php

hapo ni kama Drop like its hot vile!
 
Huku anaselebuka kwa nguvu zote, bungeni kazi kusinzia tu.....!!!!!!!!!

Teh teh kwani unadhani ungekua usipoingia bungeni posho yako unapata unadhani hawa magamba wangekuwa wanaingia basi, labda kama kuna hoja ya kukamia
 
hapo ni saa kumi usiku j5 ......asubuhi yaani alhamisi anatakiwa saa tatu awe bungeni.....kwa nini asilale ndio maana hawataki live coverge

Ndo raha ya kuwa kiongozi wa watu waoga
 
Kiongozi wenu ni DJ sasa hawa kudance kuna ajabu gani?
Dj wetu anakesha usiku kucha kwenye mixxer alafu asubuhi alihamisi anamtandika Pinda maswali mazito mpaka pinda analia, mbaya zaidi wakumuokoa pinda wanakuwa wamesinzia hapo bungeni kwa uchovu wa majoka waliyopigiwa na dj wetu all nite long.
Chezeya DJ wetu wewe!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Raha jipe mwenyewe babu....unataka ateseke kwa lipi.... yeye anasema aliishapigana vita hivyo hana sababu ya kuumiza kichwa hata bungeni...
 
ok..tumewaona..kwa kweli wamependeza..sasa balance kwa kutuonesha na wabunge wa cdm ili tukuelewe vizuri kama serikali ilivoamua kubalance kwa kuwafungia watakatifu wa radio kwaneema ili kuwaridhisha MAGAIDI wa iman fm ya morogoro
 
Back
Top Bottom