hawa ndiyo wabunge wa CCM

hawa ndiyo wabunge wa CCM

andrews

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
1,679
Reaction score
152
attachment.php
 
kwenye starehe wanabidii sana lakini ni wakimya sana ndani ya bunge. Hawana hoja za kuleta halibora kwa wananchi. wakali wa mizengwe
 
Mbona sioni baya, au umewaelewaje.......

hapo ni saa kumi usiku j5 ......asubuhi yaani alhamisi anatakiwa saa tatu awe bungeni.....kwa nini asilale ndio maana hawataki live coverge
 
Si mlisema komba mzito? ona mambo mwenyewe!!!
 
...kwa-jinsi hilo gamaba(komba)lilivyo jikunja nyuma ya huyo mwana mama,bilashaka lilichafua suruali...
 
Mbona wabunge wenu na magwanda yao tunakesha nao Kona baa na hatusemi
 
nadhani song litakuwa la .mgeni wetu ameingiaaaaa.mgeni ee mgeni.mgeni wetu ni maarufuuuu lulu anaitikia .....
 
Bungeni usingizi hapo mimacho kodooo nyambafuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Back
Top Bottom