Hatari ni kumtukana? Au anakuonya tu uwe muangalifu.Uthaadh Ramadhani hii unamtukana Mama?
Hujaelewa vzrUthaadh Ramadhani hii unamtukana Mama?
Neno hatari ni baya na zaidi ya tusi. sikubaliani na hilo neno. Kumwita Mwanamke Hatari wakati ndiye aliyekuzaa.Hatari ni kumtukana? Au anakuonya tu uwe muangalifu.
Bado unaisoma namba?Siri ya Namba nne aijue ni Mungu tuu...
Hakuna jinsi Wacha niisome namba tuu.