hawa ndiyo Al shabab

Hivi kenya kweli wataweza kuwashinda hao jamaa wa al shaabab maana wanaonekana wana mtandao mkubwa sana wa kujilinda na bahati mbaya kenya ina wasomali wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…