kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 63
Kweli nakubaliana na wewe...na kuendekeza kuuza sura tu kila kona. Tunajisahau kuwa education helps us to realize our potential. Ni level 8, Savana na Bills kwa kwenda mbele!!Vyuo vingine vinasindikiza watu tuu hawana jipya
Vyuo vingine vinasindikiza watu tuu hawana jipya
wewe huijui IFM vyema, hiki niuchuo ambacho huwezi kucheat ukakamatwa ukaachwa, huyo mtu anaetajwa kama Andendekisye Mark kwa sasa ni msajili wa chuo, aliwahi kumkamata mkewe katika sup,kwa vyov yote vile IFM/CBE huwa vilaza ni wengi na hasa watoto wa wakubwa/wenye pesa. Kwa akina dada unajua tena pale ni city center kwa hiyo kujirusha kwa sana halafu wanakumbuka shule ikiwa muda umekwisha.

Ukiangalia suala la ku-cheat lipo karibu vyuo vyote, UDSM wameishakamatwa watu kibao wanafanyiana mitihani na kuwa-discontinued.
Suala hapa si ubora wa chuo katika elimu au ubora wa kusajili wanafunzi wenye sifa, suala kubwa ni je utungaji wa mitihani, usimamizi wake na usahihishaji wake upo katika kiwango kinachokubalika?.
Ukiona wanafunzi wanafanya vitu kama hivi kuna mambo mawili, 1. Ni weakness ya system ambayo inatoa mianya ya watu kufanikiwa katika udanganyifu, 2. High risk taker students, the higher the risk the higher the return (mwanafunzi anajua akikamatwa kaharibu maisha ila asipokamatwa atapa A) vitu hivi viwili ndiyo sababu hasa za ku-cheat.
Nakumbuka UDSM kuna wakati tulikuwa na msemo mmoja "It is very risk to use "desa" in a tough examination, but it is very very risk not to use it-because you'll fail and be discontinued forthwith"- a notion which I always disagreed with
Kwa kuwa IFM, UDSM wameshakamata watu wengi sana wakifanya udanganyifu na kuwa-disqualify, basi ukweli unabakia kuwa wanafunzi wa siku hizi ni risk takers. Kulaumu chuo ambacho kimeweza kuwakamata wanafunzi wawili wakifanya udanganyifu ni kutokitendea haki, kwani ni umakini pekee ndiyo unaweza kubaini udanganyifu hata kama mwanafunzi afanye nini.
Ninampongeza msajili wa wanafunzi IFM kwa kuwa na timu makini ya usimamizi na kuwa na utaratibu mzuri wa kubaini identity ya candidate. Katika kipindi hiki cha kuwa na wanafunzi wengi darasani ni dhahiri kazi hii si ndogo.

Tukumbuke pia Jumuiya ya afrika masharika hiyooo iko njiani.Tutauweza ushindani kwa staili hii.Kimsingi IFM pameoza kwa huu usanii haiwezekani kilasiku watu wanasoma kwa ujanja ujanja kumbe wanafanyiwa mitihani dah sasa watanzania tunakwenda wapi manake hizi ndizo dalili za kutaka kufaulu sana GPA kubwa kumbe msomi bogus