Hawa ndio Wanawake wa Shoka

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631

Mwanamke wa Kikurudi na mwanae akiwa na bunduki aina ya AK-47 Tayari kuwakabili wapigaji wa Dola ya kiislam wasiuteke mji wao kobane
 
Hawa hawana muda wa kupaka poda au kukaa vichakani...
 
Kujua kubonyeza kitufe cha bunduki ndo u-shoka?
 
Hahahaaa..wape certificate mkuu, hope you don't feel jealous. hahahahaaa

Jelousy did u say? Hapana...ujue kila uzoefu unakuja kulingana na mazingira...ningezaliwa ama kukulia kwenye mazingira ya kupiganapigana ningejua tu na mimi. Mimi nimekulia kwenye familia ya wakulima na ukinikuta shambani hodari kwelikweli....kwa hiyo mtu nikitaka kujipima uhodari wangu najipima katika yale yanayonizunguka...
 
Huyu Jamaa AK47 ataendelea kuwa muuaji mkubwa duniani
 
Kujua kubonyeza kitufe cha bunduki ndo u-shoka?

mkuu unaujua mziki wa hyo kitu ikianza kukohoa?! Isikie tu au ione tu kwa akina jasson statham.

Hyo AK47 ni hatar sio masiala hasa pale inaposaka roho ya binadam. Kila kitu unachokiona dunian kinatembea ikianza kutema risas
 
Kwa hiyo....?
 
Huko kobane hapatoshi aisee.hawa isis wanatisha sana.
licha ya hadi wamama kujitolea bado mambo magumu na hata marekani na washirika wamenyanyua mikono licha ya kumwaga mashambulizi ya anga ya kutosha.
makao makuu ya wakurd hapo kobane yako mikononi mwa isis mchana huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…