Alienda akaishia kuchuma matunda ya strawberry.Muhidini Doo Langu aliapa katika utawala wake kamwe asingetoa kibali kwa Mwameja kucheza nje ya nchi.. Mwameja akakosa dili la wazi kabisa kucheza Reading iliyokua daraja la pili uingereza wakati huo
Dah!...Muhidini Doo Langu aliapa katika utawala wake kamwe asingetoa kibali kwa Mwameja kucheza nje ya nchi.. Mwameja akakosa dili la wazi kabisa kucheza Reading iliyokua daraja la pili uingereza wakati huo
Heshima zake...alinikubali akanipa viatu!!Kuna mtu anaitwa Kanali Kipingu, jamaa alikuwa mzuri sana kwenye kuibua na kukuza vipaji, huyu alipashwa ndie awe mkurungezi wa ufundi pale Tff, sijui alipotelea wapi !