Tatizo la CCM Sio Sera Mbovu Maana Uganda na Rwanda Ndio Wanazitumia Hizo Hizo Sera Kwa Mafanikio Makubwa. Tatizo Letu Ni Uongozi wa Maneno Mengi na Vitendo Vichache wa Kikwete.
Hebu Fikiria Kama Kila Mtu Serikalini Angetakiwa Kuwajibika Kama Raisi Wao MAGUFULI Nchi Ingekuwa Wapi Hivi Sasa???
UNAKARIBISHWA KABLA Ya 25/10 KUMPIGA VITA FISADI PAPA = LOWASSA
Huyo kwenye avatar ni nani?
mkuu unajitahidi... Bado kupiga push up tu!
hiyo habari peleka kule kijijini kwenu na huenda hata wao watakushangaa sana.
UNAKARIBISHWA KABLA Ya 25/10 KUMPIGA VITA FISADI PAPA = LOWASSA
JF ndiyo KIJIJI CHETU. Tuhabarishane na KUMMKATAA LOWASSA + UFISADI WAKE
ikibidi kupiga push-up ili kuzuia fisadi papa lowassa kuingia ikulu tutapiga
kuipenda tanzania ni kuacha ushabiki na kumkataa fisadi papa lowassa
Lowasa ndiye chaguo la wengi hivyo utake ustake atakuwa rais wako tu
Unahangaika bure tu, huu mwaka mabadiliko lazima na Lowasa ndiye rais
Pushup hazitowasaidia kitu, watz wameamua kubadilisha utawala na Lowasa ndiyo chaguo lao.Watz wanasema nchi yao sio Mali ya ccm tu bali ni mali ya watz wote
Bado Unao Muda Wa Kujitoa Kenye Team UFISADI = UKAWA = LOWASSA
KAMA UNAIPENDA TANZANIa CHAGUA MAGUFULI ILI TUTOKOMEZE UFISADI PAPA.
Pushup hazitowasaidia kitu, watz wameamua kubadilisha utawala na Lowasa ndiyo chaguo lao.Watz wanasema nchi yao sio Mali ya ccm tu bali ni mali ya watz wote
Msiposikiliza ushauri basi mtakiua chama chenu mapema sana…Dharau zenu ndio zinazoangamiza chama chenu
Ila kikwete kaifanya tanzania kuwa nchi ya ajabu sana, kajaza wajinga wajinga kwenye nafasi mbali mbali(refer mawaziri mizigo) nchi imekuwa inaendeshwa bila weledi, sio polisi, sio mahakama, sio vyombO vya habari , huoni utalamu uliobobea watu wameweka siasa kila mahali, hata matamko ya ikulu yakitolewa na makosa kibao..ukawa lindeni kura msafishe nchi hii