Adui na bundi wa chama cha CCM wapo ndani ya CCM na sio nje ya CCM.
Hapa ni baadhi ya hao maadui nitajaribu kuwataja
1.Mkapa kajilimbikizia mali yeye,familia yake
2.Hapa Kikwete hawezi akakosekana..Kikwete kaiongoza nchi hii kiushikaji
Ufisadi mkubwa ambao ulikuwa wazi(RICHMOND,EPA,MEREMETA….ESCROW
NK)kaufumbia macho bila kuchukua hatua zozote
4. Makinda naye kaliendesha Bunge la Tanzania kama yuko ndani ya kikao cha chama cha CCM.
5.Sitta ndio alioisababisha kuzaliwa kwa UKAWA..Kwa hiyo kufa kwa CCM kumerahisishiwa sana na Sitta. Watanzania na wana CCM wengi hawataweza kumsahau Sitta kwa kuiua CCM mapema
3.Nape amekuwa akitoa matusi na kejeli sio kwa wapinzani peke yake bali hata kwa wana CCM…Hayuko mtu atakaesahau alivyosema CHADEMA ni chama cha Wachaga na huku akisahu kuwa ndani ya CCM kuna Wachaga
4. Lugha,kejeli,majigambo, matusi nk ya viongozi wa CCM imewafukuzisha watu wenye busara zao kuona kuwa CCM sio ile ya Nyerere..
5. Adui mkubwa wa CCM kuliko wote aliyeiletea nchi hasara na kujitajirisha binafsi ni fisadi papa Edward Lowassa, ndiye kinara wa maadui wa CCM ambaye ana kashifa nyingi na utajiri usioelezeka.
Hao ni baadhi ya maadui wa CCM…mengine malizia naenda kulala