Hawa ndio wabunge bora CCM

Hawa ndio wabunge bora CCM

Filikunjombe, Mpina, Lugola, Mwakyembe na Sitta. Wengine wote ukoo wa panya.
 
Vick kamata, rwakatare, maji marefu, nkamia, sofia simba, na wale mashangingi ya viti maalumu.
 
Kwa mtazamo wangu mimi wabunge kama Deo Filikunjombe,Daud Lembeli,John Magufulu, Samuel Sitta na Dr.Harrison Mwakyembe ndio wabunge pekee CCM wenye uchungu na nchi hii ikiwa ni pamoja na kuwaonea huruma watanzania walio wengi ambao ni maskini.Ila nimshauri mh. Dr.Mwakyembe aache mchezo wa kung'ang'ana na wabebe sembe na badala yake awakamate wamiliki wa sembe hizo.
Ongeza January Makamba na Edward Lowassa mengine yaliyobaki hata yangekutwa Westgate na wale jamaa wala nisingejali. Mnisamehe.
 
Hata mke wa baba yake LeMutuz hayumo katika hiyo list? Hamuoni anavyoongea kwa uchungu bungeni namna ile?
 
Back
Top Bottom