Hawa ndio masela wa UNGA LTD;ARUSHA:

----- mtupu!! Watu wanasifiwa kwa uwezo wa kujimudu na kutegemeza familia zao kimaisha nyie mnasifia utumbo na uwezo wa kuchomana visu????? Ndiyo maana vijana wa unga ltd wanatokomea kwenye umaskini na ulevi wa bange na Gongo,unga ndio home,na acha nijisifu mimi nimeweza angalau kuwabadilisha wachache na wamekuwa stable kiasi,tuache kusifia ujinga,wenzetu wanazidi kutuacha mbali.

Jukwaa la biashara linakuhusu..achakuingilia maswagga ya watu charii angu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Chalii ya R inakupigia mnyonyo halafu inatembea mwondoko wa buyu baya.Af mamanzi wa ngalimi wanaperembwa bila kupigwa voko,wanaliwa kimeno meno.Tatizo wanapuliza sana cha R.
 
r. chuga.... niko kijenge chini grosari inaitwa full dos. ni raha tu..... namshukuru alienilleta hapa kuns room za faster. hapa hakuna kulala. teh teh teh.....
 
Hapo ungaltd kwa nini paliitwa ivyo! a sn napata shida kupaelewa arifu, cjui ni unga upi

Unga Limited ilikuwa ni shirika binafsi la kusaga nafaka. Nyerere alilitaifisha na kuliita National Milling Corporation au NMC.
Viwanda vya Unga Limited bado vinafanya kazi Nairobi ila NMC imekufa huku.
Unga Limited ilipata jina hilo kwa sababu ndiko hicho kiwanda na maghala yake yalikokuwa.
wakazi wa awali wa Unga Limited walikuwa ni wafanyakazi wa shirika hilo.
 
Jamani ungaltd kuna baadhi
ya vijana ambao wanavaa mavazi ya kiaina yake na sidhan kama kuna sehem
nyingine wanavaa kivile,utakuta kijana amevaa suruale imembana haswa
njoo ucheki hapo chini yan kiatu ni bonge la oversize ukija kichwan
kavaa kapero kaikunja kwa mbele,sasa cheki hiyo tembea yake utafurah
mwenyewe yani anadunda utadhan anaspringcoil.
Ufafanuz tafadhal kama unachochote kuhusu hiyo style ya ungaltd.

siku moja nlicheka saana kulikuwa naridi kali sana na mvua imenyesha ikatulia but manyunyu yaliendelea nkiwa sakina nkamuona jamaa mmoja mrefu sana mwembambaaa ka upepo,kavaa surual imembaana ya jins ka skin tight,kawekea travolta mpk karibia na magotini, tena mbele imechongoka ile mbaya,juu ss kanupigia cow wash kama just becoz hiv hana kingine,juu kichwan kaniwekea kofia ya ki cow boy,muondoko ss kama vile miguu ina spring.kila mtu hana mbavu
 
jombaa kwa chuga ni kote kote si ungalelo tu bali ata sekei,morombo,ngaranero,yaani maeneo mengi so take it easy.
 
Back
Top Bottom