Hawa ndio masela wa UNGA LTD;ARUSHA:

Garmii

Senior Member
Feb 26, 2011
164
19
Jamani ungaltd kuna baadhi ya vijana ambao wanavaa mavazi ya kiaina yake na sidhan kama kuna sehem nyingine wanavaa kivile,utakuta kijana amevaa suruale imembana haswa njoo ucheki hapo chini yan kiatu ni bonge la oversize ukija kichwan kavaa kapero kaikunja kwa mbele,sasa cheki hiyo tembea yake utafurah mwenyewe yani anadunda utadhan anaspringcoil.
Ufafanuz tafadhal kama unachochote kuhusu hiyo style ya ungaltd.
 
Ukweli ni kwamba,vijana wa kitaa wa Arusha wanatambulika kwa miondoko na mavazi yao:
Mfano:
Kijenge-mwendo mdundo na pozi za kiana,mavazi mara nyingi huwa mlegezo_Ongea yao ya kuvuta maneno ishara ya matumizi ya "kitu cha arusha"
Matejo:mara nyingi nguo zao ziko choka mbaya na mwendo usio kuwa na urari kati ya mikono na miguu!Dalili ya matumizi ya pombe ya gongo!
Sekei,Sanawari,Soweto na barobaro wote wa Njiro,wadau mnaweza kuongezea!!!
 
hahhahahahhahaha.... Mzeiya, unatuzingizia bwana, sanawari hakuna baro baro... Chaliwangu sanawari ya juu c ndo kitu chenyewe kinakolimwa?? Barobaro watoke wapi uko,,,ata njiro sio kiivo, labda wale watoto wa chuo cha uhasibu ambao origin yao sio arachuggah ndo wanaleta ubaroh,,, ila in general, watu waliozaliwa na kukulia arachugga, wanafanana, in termz of hasa lafudhi ya kuvuta maneno, and
 
cheeee!!!machaliiiiii mnatudi fine arifuuuuuuuuu,kweliiii mchaliiii wa pande z katiiii masanraaa,mamiaziii,makijenge,masekeii,ma ngalimi, ngaleloo mojaaaa...ni ma HIP HOP laaana.kitu niniiii...usibisheee arachugaa ndo geniva of africaaa arifuuuuuuuuuuuu
 
weweee....acha zako,njoo leta usharo brother,uchezee betoo za mbavuuu,ilaa siku hizi machalii wengi wamekuwa ma soft afu wengi wameuliwaaa banaa.kulikuwa na watemi kipindi yetu eroo..mtu anauzaa kiatu umevyaaa
 
arachuga ni noma bana machalii wanadress kama mamtoni watu wako real niaje....full ma-opp, dogg doggy, makapelo....mamanzi ndio usipime wanavuta maneno ...ungalimi mahasla wote si ndio wanatokea huko....chuga bila mabeto inawezekana...
 
cheeee!!!machaliiiiii mnatudi fine arifuuuuuuuuu,kweliiii mchaliiii wa pande z katiiii masanraaa,mamiaziii,makijenge,masekeii,ma ngalimi, ngaleloo mojaaaa...ni ma HIP HOP laaana.kitu niniiii...usibisheee arachugaa ndo geniva of africaaa arifuuuuuuuuuuuu

niaaaaaje ariiiifu be reall uko pande za araaachugaaah ariiifu?
 
Ukitaka kucheka mskilize dogo janja kwnye nymbo yke. Ndio utafahamu machali wa unga ltd wanavyoongea
 
Jamani ungaltd kuna baadhi ya vijana ambao wanavaa mavazi ya kiaina yake na sidhan kama kuna sehem nyingine wanavaa kivile,utakuta kijana amevaa suruale imembana haswa njoo ucheki hapo chini yan kiatu ni bonge la oversize ukija kichwan kavaa kapero kaikunja kwa mbele,sasa cheki hiyo tembea yake utafurah mwenyewe yani anadunda utadhan anaspringcoil.
Ufafanuz tafadhal kama unachochote kuhusu hiyo style ya ungaltd.

Ni stail ya kipekee Duniani na inapatikana Unga Limited....Hayo mapigo nayapenda sana...
 
----- mtupu!! Watu wanasifiwa kwa uwezo wa kujimudu na kutegemeza familia zao kimaisha nyie mnasifia utumbo na uwezo wa kuchomana visu????? Ndiyo maana vijana wa unga ltd wanatokomea kwenye umaskini na ulevi wa bange na Gongo,unga ndio home,na acha nijisifu mimi nimeweza angalau kuwabadilisha wachache na wamekuwa stable kiasi,tuache kusifia ujinga,wenzetu wanazidi kutuacha mbali.
 
Hapo ungaltd kwa nini paliitwa ivyo! a sn napata shida kupaelewa arifu, cjui ni unga upi
 
Back
Top Bottom