hawa ndio dada zetu

....ni dada zetu, pia ni mademu zetu na wake zetu watarajiwa!
 
dada zako mwenyewe. mie sina ndugu na majini maimuna........wametokekezea tatizo vikwapa na weusi ma.ta.ko.ni
 
hata mimi sina dada kama hawo .wala sina mke anaye vaa kama hao .hao utasubutu kumtambulisha kwa baba au mama kuwa huyu ndio mkwe wenu .hata kidogo
 
Ile ni chupi ya kamba au kamba ya chupi?
 
Ile ni chupi ya kamba au kamba ya chupi?

Mkuu zamani tulikuwa tunafunua chupi ndio tuone kalio, siku hizi inabidi ufunue kalio ndio uone chupi. Wanatamani nguo zisingekuwepo watembee watupu
 
Mi sina dada vichupi, na sitakaa kuoa mke sidiria na siwapendi marafiki skin tight na wezi wa waume za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…