hawa nao!!!

Hi ni kampuni flani ya usafi jina limenitoka, afu hilo wanalokokota limefananafanana na your avatar eeh!
 
unaweza dhani wamewehuka!. kwenye huo mviringo hua wanaweka mayai yao ili yapate joto. wamisri wa kale walijua kwamba kwenye mviringo kuna uhai kwa hiyo wakaufananisha na jua maana ndio litupalo uhai. wakaenda mbali hadi kumlinganisha mungu anaebilingisha jjua na beattle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…