Anaweza akawa anamaanisha Safari huishia pale!
Na pia anaweza akawa anatesti kama itanata/itashika ili asiendelee. Lakini kama haikunata manake anamalizia kwa kuubeba mzigo huo.
Pombe sio haramu, wala mwili wa binadamu sio haramu. Haramu ni matendo ya mtu yanayoongozwa na tamaa binafsi. Manake usione kichaka wataka jisaidia.