GE2025 Hawa Mwaifunga: Uwezo wangu unaenda kuwa maradufu Bungeni

GE2025 Hawa Mwaifunga: Uwezo wangu unaenda kuwa maradufu Bungeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mbunge Mteule wa jimbo la Tabora mjini kupitia CCM Hawa Subira Mwaifunga amewashukuru wakazi wa Tabora mjini kwa imani yao na mapenzi makubwa waliyoyaonyesha kwake baada ya kushinda na kutangazwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha miaka mitano (2025-2030);

Ambapo ameahidi kwenda kuwa mstari wa mbele kwenye bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ili kuhakikisha anawaletea wananchi maendeleo na kuendelea kukiheshimisha chama cha mapinduzi (CCM)

Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ilimtangaza Hawa Subira Mwaifunga kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29 mwaka huu



Soma pia
 
Back
Top Bottom