HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 369
- 685
Wanazingua kinyamaMitandao ya bongo ma IT wa kuunga unga sana
Nilikua na elf 3 MIX nijiunge Kifurushi cha elfu 3 MB wakaniambia sina salio la kutoshaMlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana .
Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao .
Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS
Una hela unaambiwa kila ukihamisha pesa imerudishwaNilikua na elf 3 MIX nijiunge Kifurushi cha elfu 3 MB wakaniambia sina salio la kutosha
😆😆😆Tatizo lilianzia kwenye By hapo.
wenyee hua hawaandiki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aloo hii ndio inakera zaidi kuliko kawaida ni mambo ya hovyo sanaUna hela unaambiwa kila ukihamisha pesa imerudishwa
Unakubalije kufokewa na kijakaziCustomer service wa YAS hawana kauli nzuri kma kuna mmoja anaitwa Mundhir ni useless kabisaa anamfokea mteja
Hhh wacha bhna dahUnakubalije kufokewa na kijakazi
Voda Kwa Tanzania ni Premium, Service zao nyingi ni Premium feature hata internet yao maeneo yenye coverage speed yao iko Vizuri, Hata phone call quality ipo Supa sana na Voda ndio wenye Volte peke yake Kwa Tanzania ivo Wana HD call nzuri sanaSio kwenye hela tu hata network yao haiko vizuri, ukipiga simu kwa kutumia voda na ukipiga kwa hiyo mix by matako ni tofaut kabisa.
Voda iko njema mno, ukitumia mitandao mingine utaona miteyusho sana hasa kwa mijini.Voda Kwa Tanzania ni Premium, Service zao nyingi ni Premium feature hata internet yao maeneo yenye coverage speed yao iko Vizuri, Hata phone call quality ipo Supa sana na Voda ndio wenye Volte peke yake Kwa Tanzania ivo Wana HD call nzuri sana
Kabisa Chief japo Kwa porini coverage ya Voda iko chini fulaniVoda iko njema mno, ukitumia mitandao mingine utaona miteyusho sana hasa kwa mijini.