huwa wananiudhi kuimba kuliko kuninyonya damu.Daah, ila mbu kunyonya damu sio issue mana ndo chakula chao, ila kuimba imba ovyo zile ndo huwa dharau.
HahahDaah, ila mbu kunyonya damu sio issue mana ndo chakula chao, ila kuimba imba ovyo zile ndo huwa dharau.
Wanakera kwa kweli
Nadhani alikuwa kalewa, maana si kwa wingi huo wa mbu mguuni...Ina maana hajapata japo hisia tu kua kuna mbu mguuni mwake?
Tena dharau kubwa mnoDaah, ila mbu kunyonya damu sio issue mana ndo chakula chao, ila kuimba imba ovyo zile ndo huwa dharau.