Broken soul
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 459
- 131
@Figanigga na Washawasha mzee WA "nalog off"
Siwaoni hawa majamaa au ndo wanashinda pm
Hayya mtawafikishia salamu zao
........Mia
Ngoja nikawacheki kwa mama muuza.saiz watakua wameshaamkia kitoch
hahahahaha bora ulivyomkumbusha.Kumbe unamjua Washawasha... ukiskia "nalog off" ujue kawahi kwa mama muuza..
ulikuwa ni mwendo wa maandalizi ya kufunga mwaka kaka ila tupo@Figanigga na Washawasha mzee WA "nalog off"
Siwaoni hawa majamaa au ndo wanashinda pm
Hayya mtawafikishia salamu zao
........Mia
nimerudi tena kaka nashukuru naupindua mwaka vizuri.dah!nalog off kapotea...
umeme umetusumbua sana kakaNadhani kwa sababu ya mgao mkubwa wa umeme
nimerudi tena kaka nashukuru naupindua mwaka vizuri.
Nalog off
pamoja kaka, heri ya mwaka mpya....