First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Nyani Ngabu ana masifa kishenzi.
Nyani Ngabu ana masifa kishenzi.
Lizzy ana mawenge
Faiza Foxy ni mbishi, ukijaribu hata umueleweshe jambo atazidi kung'ang'ania
Pdiddy ana kamtindo wa kupaste threads ndefuuuu kutoka kwenyd mablogs na kuzileta humu
Ulimakafu ana ka upendeleo, ukimwambia taja watu anaowapenda jf atataja wanawake kibaooo
AshaDI mama wa kuchukia, ukimsupport atafurahi lakini ukimboa anaweza alie
Mentor yeye ni full mapumba
uporoto01 huwa halali, ni zaidi ya FF
The Boss full majigambo na dharau
Paw mzee wa kupiga Ban ni balaa
bebii huyu anadanganyika, anadai ana umri mkubwa alafu yuko bikra
vivian uki pm tu kaingia line
Rev masalia yeye ni pasta lakini mhh!!
Oooh!!!
Jamani ee tusichukiane, huo ni mtazamo tu.
afadhali hata umebold sehemu inayokuhusu, unataka mifano?Unaweza kuthibitisha mitazamo yako!??
kweli FB umeanzisha uzi wa NN na Lizzy
Kama kawaida yako, ful kujiproud, na huyo lizzy basi utakuta ananiandalia mabomu, anajifanya anajua saana huyo mtoto wa kikeHmmm....mimi na Lizzy tumekuwa tukitamkwa kwenye sentensi moja mara kadhaa sasa. Maybe we are the new JF power couple teh teh teh....nasubiri mashuti.
hasa maeneo ya MMU..Hmmm....mimi na Lizzy tumekuwa tukitamkwa kwenye sentensi moja mara kadhaa sasa. Maybe we are the new JF power couple teh teh teh....nasubiri mashuti.
vivian uki pm tu kaingia line
Oooh!!!
Jamani ee tusichukiane, huo ni mtazamo tu.
Kama kawaida yako, ful kujiproud, na huyo lizzy basi utakuta ananiandalia mabomu, anajifanya anajua saana huyo mtoto wa kike
hahahahahahahahahahaha!!!! Iweke, ila usije ukaiweka ile ya kumpiga chini Saint Ivuga.Wanaume wakipigwa chini wanamatatizo.Nina uhakika kama sikukatalia siku ile usingesema.halafu wewe! Ngoja nipost ile Pm yako hapa.
Unaweza kuthibitisha mitazamo yako!??
Wanaume wakipigwa chini wanamatatizo.
Nina uhakika kama sikukatalia siku ile usingesema.
halafu wewe! Ngoja nipost ile Pm yako hapa.
ngoja aione vivian! I'll not be there to switch off the arrising fire.Lizzy is the truth. She is unquestionably, undoubtedly, arguably, 100 percent without a shadow of a doubt the HOTTEST CHICK IN JF.
ile sio lugha yake ni lugha ya kwenye mablogs, yeye anapest hadi nukta.hahaha hapo kwa Pdiddy umesahau na lugha yake huwa haieleweki
umeisahau ile thread yako ya Break Point! Umelia weeee kwa kufungwa hako ka restaurant.Please, i'd so much appreciate!