Hawa machizi kupona baadae saaana!

انا ما ادري كيف انت تدري

شكرا لكم وتهانينا
 
انا ما ادري كيف انت تدري

Dah!jamani mbona mwatuacha mbali wenzenu?
 


Hawachukuwi muda watapona.
 
Hao ni machizi mabalaa hahah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Docta ndio chizi kweli kweli
 
Ivi inakuwaje mtu unatukana watu badala ya kuchangia mada@tinambuya

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kuna machizi wengine wawili katika wodi ya pili, doctor aliingia ndani na kuchora mlango ubaoni kwa lengo la kuangalia kama wamepona ili awape ruhusa ya kwenda home.
Doctor: Haya, aliyepona akapite pale mlangoni (picha ya mlango) aende nyumbani
Chizi 1: akaenda pale kwenye picha anaangaika kutaka kupita mlangoni aondoke
Chizi 2: akawa anamcheka yule Chizi mwenzie mpaka machozi yanamtoka
Doctor: wewe kweli umepona nitakuruhusu ukiniambia unacheka nini?
Chizi 2: Namcheka mwenzangu anavyoangaika kutoka nje, wakati funguo ya ule mlango ninayo mimi
 
Duuuh! umenvunja kiuno mana ni hatari aiseee! na wakiwa kumi kama hao kwisha kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…