K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,304 Apr 11, 2025 Thread starter #41 Kategele said: Watengeneze na block za round about wao ni block za mabox tu kama Uingereza au kwa vile tulitawaliwa na Muingereza. Click to expand... Kweli kabisa!Wangetengeneza vituo vingi vya kupaki.
Kategele said: Watengeneze na block za round about wao ni block za mabox tu kama Uingereza au kwa vile tulitawaliwa na Muingereza. Click to expand... Kweli kabisa!Wangetengeneza vituo vingi vya kupaki.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,304 Jun 12, 2025 Thread starter #42 Leo Msukuma kaongelea kuhusu Mipango ya kuwaweka wamachinga kwa kutengewa maeneo Rafiki kwa biashara na miundo mbinu inayofikika!
Leo Msukuma kaongelea kuhusu Mipango ya kuwaweka wamachinga kwa kutengewa maeneo Rafiki kwa biashara na miundo mbinu inayofikika!