Ni kweli Dom kwa hii ishu wamezingua sana.Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!
Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.
Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .
Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo
Ahsanteni.
Yaani unatoka stand na Soko la Ndugai ni nyumba tuu na viwanja vya nyumba,pia hakuna shule ya kawaida mpaka shule ya msingi_Kisasa!Ni kweli Dom kwa hii ishu wamezingua sana.
Hatari sana.Kuna babu mzanzibar aliuza eneo la wazi la Gymkhana Dar ,wakati akiwa magogoni, pakajengwa hotel. Alikoendaga huyo Babu asirudi Tena.
Huku wanatuhamasisha tufanye mazoezi!Kama mdau alivyosema hapo viwanja vingi vinamilikiwa na ccm, wakiamua wanavibadili matumizi tu.
Tumie vile vya shule, bahati mbaya miji mingi shule hazina viwanja vya michezo.
Baba yake chura kiziwiHatari sana.
Tutafika kwa namna hii!Baba yake chura kiziwi
Naona wanalinyemelea wajengaji!kama unatokea stendi nanenae ukifika kisasa (meriwa) upande wa kushoto karibu na makaburi ya kisasa kulikuwa na eneo la wazi labda kama litakuwa limebadilishiwa matumizi
Mipango mibovu sana!Bora hata Dodoma Kuna Open space Nyerere square. Unaweza ukasogea hapo ukapumzika.
Miji mingine hakuna hicho kitu Kila sehemu kumejazana nyumba tu Mji haupumui.
Ukitaka kupumzika tofauti na nyumbani kwako inakulazimu uende sehemu za kulipia kama Bar
Utadhani wanatupa mikopo wa mabati!Huko dodoma wanapangilia rangi za mabati tu 😁
Kwahiyo ukitaka kuezeka unaambiwa kabisa ezeka maroon/ezeka kijani.....ukikaidi je ukaweka rangi yako?? Wanaezua? 😁Utadhani wanatupa mikopo wa mabati!
Eeeeh,hawaezui ila utaonekana Tundu Lissu!(Utani).Kwahiyo ukitaka kuezeka unaambiwa kabisa ezeka maroon/ezeka kijani.....ukikaidi je ukaweka rangi yako?? Wanaezua? 😁
Wahamasishaji wana ndambi za haja kwa pesa walizouza hivyo viwanja vya mazoeziHuku wanatuhamasisha tufanye mazoezi!
Wanakuwekea viwanja vya makazi na biashara, ili baa zijengwe watu tukale michemsho na kunywa pepsi au castle lite baarriiiidi..Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!
Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.
Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .
Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo
Ahsanteni.
Hivyo vitambi vitawagharimu uzeeni!Wanakuwekea viwanja vya makazi na biashara, ili baa zijengwe watu tukale michemsho na kunywa pepsi au castle lite baarriiiidi..
Hayo mambo ya michezo watayajua wapi hao maafisa mipango miji ambao wana vitambi vya rushwa?
Viwanja vyenywe vidogo,utafanya mazoezi ya kuruka kwamba tuu!Wahamasishaji wana ndambi za haja kwa pesa walizouza hivyo viwanja vya mazoezi
Watengeneze na block za round about wao ni block za mabox tu kama Uingereza au kwa vile tulitawaliwa na Muingereza.Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!