Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,253
- 22,167
Kweli mkuu,tunahimizwa tufanye mazoezi Lakini viwanja hakuna! Kwenda Gym uwe na hela, Sasa tutaponaje na Haya magonjwa?Wanasubiri wanasiasa waseme waonekane wanawafundisha kazi
Pia makusanyo ndio tatizo, kiwanja au viwanja vinachukua eneo kubwa na hakuna pesa itaingia kwa haraka tofauti na viwanja vya makazi, biashara, viwanda, taasisi nk
Ni mtazamo
Muhimu waangalie hilo suala la kutenga maeneo ya michezo, sio tu kutenga maeneo ya Wazi (OP) bali maeneo maalum kwa ajili ya michezo.
Maana maeneo ya wazi matumizi yanabaki kuwa ni mtambuka
Popote utakapoona kiwanja kimetengwa jua hilo ni eneo la CCM usijidanganye sijui kiwanja cha michezo hakuna kitu km hicho kiwanja cha wazi chochote unapokiona hata km kimewekwa magoli ni cha CCMNipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!
Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.
Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .
Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo
Ahsanteni.
🤣🤣🤣🤣 eti hata kama kimewekwa magoliPopote utakapoona kiwanja kimetengwa jua hilo ni eneo la CCM usijidanganye sijui kiwanja cha michezo hakuna kitu km hicho kiwanja cha wazi chochote unakiona hata km kimewekwa magoli ni cha CCM
Ndio namwambia ajue kuna viwanja vipo kibao vimetengwa na watu wameweka magoli wanacheza mpira wakifikiri vimetengwa na serikali kwa ajili hio kumbe ni viwanja vimetengwa na CCM kwa ajili ya kujenga ofisi zao siku za mbeleni🤣🤣🤣🤣 eti hata kama kimewekwa magoli
Viwanja vya wazi sio vya Serikali hakuna kiwanja cha Serikali unachotuhusiwa wewe kwenda na watoto wako mkaweka magoli mkacheza mpira viwanja vyote unavyoona vimewekwa magoli watoto wanakutana wanacheza ni vya CCM elewa hivyo na kuna muda unafika hua wanakuja kuvichukua viwanja vyao na kujengea ofisi zaoKweli mkuu,tunahimizwa tufanye mazoezi Lakini viwanja hakuna! Kwenda Gym uwe na hela, Sasa tutaponaje na Haya magonjwa?
Ukiingia kwenye master plan original utakuta vipo ila wame amend plan na kujigawia wao maafisa ardhi na vigogo wengine na kuviuza.Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto!
Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene uliopitiliza, Kisukari,Ugonjwa wa moyo nk.
Mfano hapa stand ya Mkoa,mpaka ufike Dodoma mjini hakuna kiwanja Chochote Cha michezo ukiondoa vya shule .
Mazoezi ni Muhimu kwa Binadamu,ili kupunguzwa magonjwa yasiyo ya lazima,wafanye katika kupima viwanja maeneo pia yatengwe ya viwanja vya michezo
Ahsanteni.
Tutakufa jamani na hizi hela!Ukiingia kwenye master plan original utakuta vipo ila wameamenda na kujigawia wao maafisa ardhi na vigogo wengine na kuviuza.
Ujanjaujanja mwingi!wanavitenga sema wezi wanavibadili matumizi akafu wanaviuza au makampuni mengne yanapanga eneo dogo hivyo hawaviweki alafu wanapanga tena eneo dogo then chain inaendelea
Kwa hiyo hakuna viwanja vya wananchi!Viwanja vya wazi sio vya Serikali hakuna kiwanja cha Serikali unachotuhusiwa wewe kwenda na watoto wako mkaweka magoli mkacheza mpira viwanja vyote unavyoona vimewekwa magoli watoto wanakutana wanacheza ni vya CCM elewa hivyo na kuna muda unafika hua wanakuja kuvichukua viwanja vyao na kujengea ofisi zao
Uzuri na wao wakistaafu, hawana pa kufanyia mazoezi,ubaya, ubwela!Tamaa ya pesa
aisee huzuni tupu👿Ndio namwambia ajue kuna viwanja vipo kibao vimetengwa na watu wameweka magoli wanacheza mpira wakifikiri vimetengwa na serikali kwa ajili hio kumbe ni viwanja vimetengwa na CCM kwa ajili ya kujenga ofisi zao siku za mbeleni
Hao maafisa Mipango Miji ni wa CCM!Ndio namwambia ajue kuna viwanja vipo kibao vimetengwa na watu wameweka magoli wanacheza mpira wakifikiri vimetengwa na serikali kwa ajili hio kumbe ni viwanja vimetengwa na CCM kwa ajili ya kujenga ofisi zao siku za mbeleni
Duuh,sikulijua Hilo!Popote utakapoona kiwanja kimetengwa jua hilo ni eneo la CCM usijidanganye sijui kiwanja cha michezo hakuna kitu km hicho kiwanja cha wazi chochote unapokiona hata km kimewekwa magoli ni cha CCM
Magoli yanatolewa!🤣🤣🤣🤣 eti hata kama kimewekwa magoli
Hii noma na Haina Afya.aisee huzuni tupu👿