Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
Wamesepa na ki ist chao Ila kesho wakija kwa mangi watanikuta camera man nawasubiri [emoji23]Duuu wamechomwa haoookk
Ustaaraabu gan pumbafuuu...yaan watu wamepewa kaz badala wafanya wanazunguka kunywaa beer..na huo ni muda wa mchana kabisaaa..bora ingekuwa jioni tungenyamaza..Hujafanya poa kurusha picha yao huku, ungeziba sura.
Ustaarabu ni kitu cha bure
nimewambia waleni kimasiharaDaah kuna video ina trend twita ya dada akiwa kavaa hayo makoti ya connection
Tayari makarani tushakichafua [emoji16]
Wao wenyewe walipaswa kuvua hivyo vikoti vyao, wala camera isingetumika Ila kwa walivyotufanyia leo popote wakiinekana na vikoti vyao camera inawahusu.Hujafanya poa kurusha picha yao huku, ungeziba sura.
Ustaarabu ni kitu cha bure
Hiyo no kwa wavivu kama hao,,, naomba askari wachukua rushwa barabaran ifanyike hinyoHujafanya poa kurusha picha yao huku, ungeziba sura.
Ustaarabu ni kitu cha bure
Washkaj nao hawapo makinj wangeacha hvo vikoti kwny gariHujawafanyia sawa mkuu, hakuna kibaya walichofanya hapo
Inauma sana tunapoona kodi zetu zinatumika isiyokatika nchi ya ovyo kila kitu lazima kiende ovyo, wewe ulitarajia nini labda ?. mimi nilipo ziona zile sarakasi zilizotokea kwenye zoezi zima la kuwapata makalani nikajua hakuna cha maana kitakachofanyika hapa ni vile tu tumeamua kuchezea pesa za serikali basiii.
Wangekuwa hawajavaa hivyo vikoti wala nisingewafuatilia, hawa watu wako na bifu kwetu waambie kabisa si kila pub ni ya kupita wakiwa wamevaa hivyo vikoti 😂Hujawafanyia sawa mkuu, hakuna kibaya walichofanya hapo
Bado washamba hao hawajui hapa mjini palivyo [emoji23]Washkaj nao hawapo makinj wangeacha hvo vikoti kwny gari
Hao ndio makarani wa sensa 2022Usikekuta wanavuta ile kitu ya "WAJAKOYAH"