hovi nvhi nii wakulima ni wa korosho tu mwaka 2016 wakulima.wa mbaazi walifekelewa mbali... tani 300,000 za mbaazi bei ilishula toka 2500 hadi 100 kwa kilo zilipotea b750 serikali iko kimya .... tunapoamua kama nchi tuwape haki sawa wakulima wote bila kujali wanatoka upande gani wa nchi