Hawa Houth wanatumika visivyo na Iran!

Hawa Houth wanatumika visivyo na Iran!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Houthis wamepata ujuzi wa kurusha makombora ya balestiki—si kwa sababu waliyatengeneza na waliyalipia wao au hata kuelewa kikamilifu jinsi yanavyofanya kazi, lakini kwa sababu askari wa iran IRGC iliwafundisha jambo moja tu: jinsi ya kubofya kitufe kikubwa chekundu tu basi.
 

Attachments

  • IMG_2802.jpeg
    IMG_2802.jpeg
    330.2 KB · Views: 5
Sigara, bhange ni halaal au kwa kuwa hazikuwa "zimegunduliwa" kipindi wahyi unashuka?
 
Back
Top Bottom