Hawa hapa nyota saba wanaodaiwa kuondoka Simba

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Nyota saba wanaodaiwa kuiaga Simba;

Jonas Mkude
Ajib
Manyika Peter
Abdi Banda
Method Mwanjali
Novatus Lufunga
Juuko Murshid- @ MWANANCHI

Kwa maoni yangu bado nawakubali sana Jonas Mkude na Ibrahim Ajib sijui kwanini wanaondoka, lakini tusubiri tuone huenda wakaja wakali zaidi yao.

simba.jpg
 
Simba wajitahidi hawa wasiondoke

1.Mkude
2.Juuko
3.Banda

Tukifanya kosa tutarudi kulekule kweney timu kukosa mabeki
 
Simba wajitahidi hawa wasiondoke

1.Mkude
2.Juuko
3.Banda

Tukifanya kosa tutarudi kulekule kweney timu kukosa mabeki
Kwa hiyo wabaki hata kama wanashinda na njaa.....

Labda wawape limbwata wawe kama mazezeta ya klabu lakini katika ulimwengu wa maslahi....ni vigumu kubaki....ukizingatia usanii wa viongozi wa simba....
 
Aliyekwambia Wachezaji Simba wanashinda na njaa ni nani?

Mimi ninapoongelea wajitahidi...ni kukaa chini na kukubaliana mikataba mipya (Maslahi)

Timu yenye rekodi ya kuwalaza wachezaji kwa njaa ni Yanga...Ushahidi uko wazi kwa msimu huu ulioisha
 
Ndugu yangu sipo kwenye ubishani wa simba na yanga.....nipo kujadili mambo ya wazi.....

Nadhani unakumbuka mvutano uliodumu kwa muda kadhaa kati ya klabu ya Simba na kiungo Jonasi Mkude huku kigezo kikubwa kikiwa ni masilahi.....

Hivyo basi utajua kuwa kinachowaweka wachezaji vilabuni ni maslahi na si vingine.....

Hivyo vilabu vijitahidi kuboresha maslahi ya wachezaje wake....itawavutia nyota wake wengi kubaki na hata kuja wengine zaidi.......

Hata Lionell Messi linapokuja suala la masilahi anakuwa tofauti na unavyomuona....ndio maana kila muda yeye na uongozi wa Barcelona wanauchungulia upya mkataba na kumboreshea maslahi.....
 
Nadhani unakumbuka mvutano uliodumu kwa muda kadhaa kati ya klabu ya Simba na kiungo Jonasi Mkude huku kigezo kikubwa kikiwa ni masilahi.....

Hivyo basi utajua kuwa kinachowaweka wachezaji vilabuni ni maslahi na si vingine.....

Hivyo vilabu vijitahidi kuboresha maslahi ya wachezaje wake....itawavutia nyota wake wengi kubaki na hata kuja wengine zaidi.......

Na ndio msingi wangu wa kusema Simba wajitahidi kuwabakisha hawa
 
Tutasajili manyota mengi

Sijui ka wajua usemalo mkuu. Wajua kuwa kodi anayoilipa mfadhili wako kwa sasa ingeweza kuwalipa hao wasiondoke msimu woote?? Usijifariji na kusajili. Fedha haitembei tena sku hizi. Kama wamemaliza msimu wao, kuwarudisha si rahisi. Huenda ni ukata umewaondoa baada ya mkataba kuisha. Nadhani kwa namna hii, ubingwa tuuote tuuu
 
Nyota saba wanaodaiwa kuiaga Simba;

Jonas Mkude
Ajib
Manyika Peter
Abdi Banda
Method Mwanjali
Novatus Lufunga
Juuko Murshid- @ MWANANCHI

Kwa maoni yangu bado nawakubali sana Jonas Mkude na Ibrahim Ajib sijui kwanini wanaondoka, lakini tusubiri tuone huenda wakaja wakali zaidi yao.

View attachment 516941
Wameshakomaa sasa,tunachukua tunawaachia Opwi,Niyonzima na Madoido Ngoma......weeeeeeeeeeeeee,,,,,,weeeeeee
 
Nanichekeshaga sana mashabiki wa Simba!

Hivi ni lini Mara ya mwisho mmebeba on-form player kutoka Yanga nyinyi ?
Mkuu mm ni Yanga Damu kwa upande wa Niyonzima inawezekana sbb jamaa niko naye mtaa mmoja analalamika Yanga wanavyomfanyia juzi kaondoka Rwanda aliwaomba ata wamlipie kod ya Nyumba mwezi 1 maana kodi yake inaisha na ela ya matumiz kuachia familia yake anavyoongea ktk simu tunamsikia sasa unategemea nn apo Simba wakimpandia Dau ato sign ? na Mkataba wake Yanga umeisha.
 
Back
Top Bottom