Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,705
Hahahah acha kuzinguaWaambie hy pesa ya interview watakukata kwenye mshahara.
Ww ndo unazngua, hizo ishu tumefanyiwa sana na kazi hatujapata.Hahahah acha kuzingua
Unapigwa baba.Wametuma majibu ya job application na kusema kuwa interview itafanyika Dodoma zilipo ofisi zao na kwa watakaoshindwa kufika ofisini basi wapange muda wa kufanyia interview kupitia Skype na wanatakiwa kulipia elf 11,500 kabla ya tar 11.
Swali langu ni je, hawa watu wapo kweli kwenye hizo ofisi kama inavyoonekana kwenye screenshot hapo chini?
Peleka polisi mkuu, wanajaribu kukutapeliWametuma majibu ya job application na kusema kuwa interview itafanyika Dodoma zilipo ofisi zao na kwa watakaoshindwa kufika ofisini basi wapange muda wa kufanyia interview kupitia Skype na wanatakiwa kulipia elf 11,500 kabla ya tar 11.
Swali langu ni je, hawa watu wapo kweli kwenye hizo ofisi kama inavyoonekana kwenye screenshot hapo chini?
Shukrani sanaUnapigwa baba.
Web sahihi ni hii
DFC | America's Development Finance Institution
The homepage of the DFC, the U.S. government's development finance institution, advancing U.S. foreign policy and strengthening national security by mobilizing private capital around the world.www.dfc.gov
Angalia uandishi wao wa kuchanganya maherufi makubwa katikati ya sentensi.
Nasisitiza unapigwaa
Nasisitiza unapigwaaaaaaa
View attachment 1695426
okayUnapigwa hapo mkuu, kimbia