Uzuri wa CRDB ina network ya mabranch kibao na saivi wameanza kuzama hadi mawilayani. Yan ukienda hata karagwe kununua maharage unajitolea zako pesa bila shida.
Dawa ya hao wenye majibu mabaya ni kuripoti aidha kimaandishi kwa wakubwa zao, au andika kwenye facebook yao.
Kuna jamaa mmoja namfahamu walimcheleweshea kadi 3months mbona alipompigia dr ilitoka ndani ya 3 days
Hawa jamaa bado ni wazuri compared na hizo benk nyingine.