Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
ha ha ha ha noma sana kata maji halafu lalafu leta kituSisi cowboys hatupendi shobo na maisha yetu simple sana. Historia yetu ntakuletea punde ngoja kwanza nikate maji.
View attachment 660842
Chachu CowboySisi cowboys hatupendi shobo na maisha yetu simple sana. Historia yetu ntakuletea punde ngoja kwanza nikate maji.
View attachment 660842
noma sana mkuuAfu music wao ni country music hasa wakina ken rogers,don williums,dolly parton na john denver, ni full travolta, pikipiki/bike na mara nyingine farasi.
Hapana wale ni Jingacowboys.Hata masai ni cowboys
Doh umewaanda-rate kinyama,Hapana wale ni Jingacowboys.