Naona CCm wana mpango wa kuvuruga hotuba ya JK ,pengine wanaona Tanzania ita outshine huu upuuzi na Nyerere kuibulia km alivyostahili.
Ni ngumu kunfcha nyerere.
NAdhani Ikulu itahitaji tupatia hiyo hotuba hapa JF
Ungeangalia ALJAZEERA TV nadhani ungekasirika
Ungeangalia ALJAZEERA TV nadhani ungekasirika
Kwa nini mnaangalia TV za Mabeberuuuu....kuna eTV na SABC za Africa kusini zipo LIVE...hata Star TV wanaonyesha.
Mabeberuuu wana ajenda zao....tukatae!!!!!
Naona CCm wana mpango wa kuvuruga hotuba ya JK ,pengine wanaona Tanzania ita outshine huu upuuzi na Nyerere kuibulia km alivyostahili.
Ni ngumu kunfcha nyerere.
NAdhani Ikulu itahitaji tupatia hiyo hotuba hapa JF
ALJAZEERA TV wamefanyaje tena..
Wameogopa propaganda za CCM. Nyerere na Tanzania zimetajwa mara nyingi kuliko Mandela.
Ungeangalia ALJAZEERA TV nadhani ungekasirika
TUNAOGOPA KUKWAMAKWAMA KWA startimes .Kwa nini mnaangalia TV za Mabeberuuuu....kuna eTV na SABC za Africa kusini zipo LIVE...hata Star TV wanaonyesha.
Mabeberuuu wana ajenda zao....tukatae!!!!!
Na nadhani etv inaonekana vizuri sana mkuu...Kwa nini mnaangalia TV za Mabeberuuuu....kuna eTV na SABC za Africa kusini zipo LIVE...hata Star TV wanaonyesha.
Mabeberuuu wana ajenda zao....tukatae!!!!!
Naona CNN wana mpango wa kuvuruga hotuba ya JK ,pengine wanaona Tanzania ita outshine huu upuuzi na Nyerere kuibulia km alivyostahili.
Ni ngumu kunfcha nyerere.
NAdhani Ikulu itahitaji tupatia hiyo hotuba hapa JF
note:Nimebadili CCM kuwa CNN.niliandika kimakosa ila kuna mchangiaji karekebisha.Aliyechangia asijione mkosefu ktk hili.