Hawa CNN wanaboa kweli, kwanini hawataki Tanzania Isikike?Au wanao kuwa inafuta usanii wote?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,263
2,000
Naona CNN wana mpango wa kuvuruga hotuba ya JK ,pengine wanaona Tanzania ita outshine huu upuuzi na Nyerere kuibulia km alivyostahili.

Ni ngumu kunfcha nyerere.

NAdhani Ikulu itahitaji tupatia hiyo hotuba hapa JF

note:Nimebadili CCM kuwa CNN.niliandika kimakosa ila kuna mchangiaji karekebisha.Aliyechangia asijione mkosefu ktk hili.
 
Mtumpole

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
2,194
2,000
Naona CCm wana mpango wa kuvuruga hotuba ya JK ,pengine wanaona Tanzania ita outshine huu upuuzi na Nyerere kuibulia km alivyostahili.

Ni ngumu kunfcha nyerere.

NAdhani Ikulu itahitaji tupatia hiyo hotuba hapa JF

Ungeangalia ALJAZEERA TV nadhani ungekasirika
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,255
2,000
mkuu anaglia chanel ten
wameungana na SABC LIVE
BILA CHENGA.
ACHANA NA HAO
WAZUNGU
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,263
2,000
Kwa nini mnaangalia TV za Mabeberuuuu....kuna eTV na SABC za Africa kusini zipo LIVE...hata Star TV wanaonyesha.

Mabeberuuu wana ajenda zao....tukatae!!!!!

you tube na SABC naziangalia now.Nimeamu point out ili watu waone wapi watu wanaogopa ukweli kuwa wazi
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,370
2,000
Naona CCm wana mpango wa kuvuruga hotuba ya JK ,pengine wanaona Tanzania ita outshine huu upuuzi na Nyerere kuibulia km alivyostahili.

Ni ngumu kunfcha nyerere.

NAdhani Ikulu itahitaji tupatia hiyo hotuba hapa JF

CCM tena........duh.........
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,263
2,000
Wameogopa propaganda za CCM. Nyerere na Tanzania zimetajwa mara nyingi kuliko Mandela.

pia wameogopa aibu na kuporwa sifa na Tanzania.Bahati mbaya sana wote waliopiga kambi bongo ndio wameshikilia sehmu muhimu sana ktk jeshi,wizara,hospital,usalama etc na hata madaraka yote ya juu.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,263
2,000
Ungeangalia ALJAZEERA TV nadhani ungekasirika

Aljazeera nao tena?Ndio maana huwa napiga sana kelele na mi CCM kuaharibus ana ubora wa vitu vyetu kwa siasa zao.Hatuna TV inayotamba ambayo ingeweza lazima sana agenda zetu.Na agenda hizo ziwe kweli na honest.

Linapokuja suala la issue za nje tuna maboya tupu, na kusubiri wengine.Hembu fikiria mataifa yote yawe na vipande vyao dhidi yetu tutabaki na nini cha kupumua ktk dunia.
 
Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,429
2,000
Dr. Kenneth Kaunda " KK" ametoa sifa njema kwa rafiki yake mkubwa Dr. Nyerere
 
politics

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
211
250
Naona CNN wana mpango wa kuvuruga hotuba ya JK ,pengine wanaona Tanzania ita outshine huu upuuzi na Nyerere kuibulia km alivyostahili.

Ni ngumu kunfcha nyerere.

NAdhani Ikulu itahitaji tupatia hiyo hotuba hapa JF

note:Nimebadili CCM kuwa CNN.niliandika kimakosa ila kuna mchangiaji karekebisha.Aliyechangia asijione mkosefu ktk hili.

kama unakumbukumbu cnn waliamriwa kuiomba radhi tanzania sakata la malawi na ziwa nyasa hivyo hawawezi ku side na tz. mambo yote bbc na enca.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom