Hawa askari hapa wanalinda nini?

Kuna masimulizi ya huu Mwenge humu ukisoma utashtuka...Kuna mtu anaaitea Gunze ...Google umsome kuhusu Historian ya Mwenge !
Ndio maana una masharti ya ajabuajabu!
 
Nilifanya utafiti na kushuhudia haya unayosema
Yaani mpaka mashamba waliyolima watu binafsi yalikauka baada ya moshi kupita tu
Sijui ni coincidences au
Lakini sidhani maana ni miradi mingi inakufa tu
 
Ni mchongo tu wa watu kupiga mpunga. Hakuna kingine zaidi ya ufisadi tuu..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…