Hili sredi babu anashindwa kulichangia asee....Limekaa kiujanaujana wakati babu mie nshazeeka.
Ila tu Mjukuu Mtiifu..........Ni afadhali ukajua he/she belongs to someone else kuliko akakuambia yuko alone na ni wewe tu katika maisha yake halafu ghafla akakuambia "am sorry, nilikuwa nakudangaya, jamaa yangu amerudi....so its over"...............Damn! Natamani kuua mtu....
Babu nisome katikati ya mistari hapa??
Huo ndo ubaya sasa....maumivu huanza pale mmoja anapohangaika wakati mwingine anachukulia kama mchezoMTM and Lizy: Love is more of giving than receiving.
Yaah, but ni wangapi wako tayari kutoa mapenzi kiasi kile kile wanachopewa? Wengi wetu tunapenda kupendwa na kubembelezwa, utasikia mtoto wa kike anasema JAMAA KAFIKA KWELI, MIMI NAEGESHA TU!
This is slavery! Ndio anayosema mwanajamii One! Unapenda na kuhangaika, mwenzako anaona sifa tu, yeye haonyeshi mapenzi. Hebu jiulize, kwa nini umfanye mwenzako mtumwa kwa mapenzi! The world is full of broken hearts kwa sababu hizo! UKipendwa, shikamana!
In this life thats normal.if you r i da situation first of all kubaliana na matokeao(face the truth kuwa huyo mtu si ridhiki),then pray to God for peace huku ukijichanganya na marafiki na kujishughulisha.With time you will heal and move on with your life. Ukianza kujifungia chumbani na kulia ndio mwanzo wa maBP na masheli na utateseka kwa muda mrefu.Dears
Am just asking
Have you ever love someone, I mean really love her/him............... only to face the truth that that person can not be with you because may be s/he is already taken/ belong to someone else?
How do you deattach yourself with that feeling................... What do you do/can someone do??
Babu naomba nikuulize swali kidogo....umesema kwamba mtu akimuoa ampendae kweli hawezi kutoka nje ya ndoa.Je ina maana kwamba true love beats nature(as in mwanaume lazima awe na wanawake wengi)????
Self help is the best help. No one can improve you better than yourself can. No one can help you better than yourself can. To be happy, feel lucky and enjoy life, you need to be able to love yourself. You need to make yourself make the most of every moment, you need to help yourself make the fullest use of everything you have within. You need to keep improving yourself constantly, continuous improvement.
Accept yourself they way you are. Every individual has it's own set of strength and weaknesses. Accept that you are not flawless, stop self criticism (stop blaming yourself) and look within yourself. Stop worrying and be confident.
Kwenye hii thread na haya majibu ya Asprini
mbona nahisi kama naongelewa mimi???................lol,
AU ndiyo yale maneno ya
MAHITAJI YA KIMSINGI YA BINADAMU YANAFANANA ILA MIPANGILIO, MATUMIZI,MIKAKATI NA UTEKELEZAJI WAKE UNATOFAUTIANA.
Umeanza mwone vile....!
Exactly....babu can prove beyond reasonable doubt kwamba True Love liko juu ya nature......Nilishawahi kufall in love na sikuona mwanamke mwingine duniani zaidi ya mama yangu......Sasa utamtongoza mama yako? Mapenzi ni upofu Lizzy, you get one you see only one..... Na akanitenda......I wish nisingekutana naye!......Na to tell you the truth, pamoja na kunitenda lakini akirudi...mama Matesha ajue ana mpinzani mkali..........Nadhani umenielewa sasa.
aisee nnunu pole sana bwana.
Haya mambo, ni asilimia kubwa sana ya watu yamewakuta. Pole sana.
Babu hii ndo raha ya kua na wajukuu...nisipokuchangamsha akili utasinzia muda wote!!Umeanza mwone vile....!
Exactly....babu can prove beyond reasonable doubt kwamba True Love liko juu ya nature......Nilishawahi kufall in love na sikuona mwanamke mwingine duniani zaidi ya mama yangu......Sasa utamtongoza mama yako? Mapenzi ni upofu Lizzy, you get one you see only one..... Na akanitenda......I wish nisingekutana naye!......Na to tell you the truth, pamoja na kunitenda lakini akirudi...mama Matesha ajue ana mpinzani mkali..........Nadhani umenielewa sasa.
Babu hii ndo raha ya kua na wajukuu...nisipokuchangamsha akili utasinzia muda wote!!
Nimekusoma na kukuelewa ....natamani ningeuliza swali lingine ila unaweza ukakasirika ukaninyima kulamba bakuli yako ya mtori....labda kama utanipa ruhusa!
ha ha ha ha ha pamoja na maumivu yote aliyokupa kipindi kile,
lakini bado upo tayari kumsamehe na kuendeleza libeneke???
NAZIDI KUAMINI KUWA MAPENZI YA KWELI HAYAFI BALI YANAZIMIKA TU ( YANANYAUKA}......lol
Umeanza mwone vile....!
Exactly....babu can prove beyond reasonable doubt kwamba True Love liko juu ya nature......Nilishawahi kufall in love na sikuona mwanamke mwingine duniani zaidi ya mama yangu......Sasa utamtongoza mama yako? Mapenzi ni upofu Lizzy, you get one you see only one..... Na akanitenda......I wish nisingekutana naye!......Na to tell you the truth, pamoja na kunitenda lakini akirudi...mama Matesha ajue ana mpinzani mkali..........Nadhani umenielewa sasa.
..Duh kuna watu wana bahati za mtende na kuzichezea .....................duh I just wish
Hahahahhaaaaaaaaaaaaa umeniweza yaani kisebusebu na kiroho papo kimeniisha duh. babu unafaa kuwa comedian unajua!You still have a chance...........welcome back!
Hahahahhaaaaaaaaaaaaa umeniweza yaani kisebusebu na kiroho papo kimeniisha duh. babu unafaa kuwa comedian unajua!