Have you ever searched for the one you once loved? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Have you ever searched for the one you once loved?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sumba-Wanga, Nov 22, 2011.

 1. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Uko kwenye ndoa. Umeoa/kuolewa na your dream man/woman. You met this guy few years back and all was paradise. You had all the funny you wanted. You could not let him go. He was the end of the road, alpha and omega. You could not wait to introduce him/her to your parents who acce pted him/her. By the way, why should they reject him/her while he is the choice of your life. You cannot wait to hold his/her hand and go to the church/mosque. You are now a husband and wife. This is now the moment of truth. All the nightmare ends here. You have kids, family responsibilities and the like. Everything regarding romantic life seems to stop. It is now Simba na yanga, when a husband says yes the wife says no! Thesleepless nights are countless. Sometimes you are wondering if it was the wrong choice! Kila kitu kinasimama! Your life is miserable! It is only children who keeps you going. Sex life is boring and complete lydead. You are tempted to test the VULTURES (mahawara) who are waiting outside, eagerly. You convince yourself that they will keep you alive, satisfy you. However, you fail to see that satisfaction will last for few minutes and all your problems will continue. Unasahau kuwa hata hawara akiwa mke/mume yatakuwa yale yale. wahenga walisema hawara haolewi!! Some will start drinking heavily, spend most of the time in the bars, avoiding their spouse!At this point you start searching for the one you once loved. You ask him/her, Iwant the woman/man I loved, it is not you!!!! Where is he/she?je, yameshakutokea majaribu na ulifanya nini? unatakiwa kuikabiri vipi hali hii ili mrudi kuwa kawaida?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ilishanitokea ila nilipo search zile namba zote zilikuwa hazipatikani nadhani nao waliolewa itakuwa! na sikuwapata kwenye social networks!

  Ikawa ndio manusurina yangu
   
 3. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Huu ni ukweli unaouma! haijawahi kunitokea na ninaomba isitokee!
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo ulirudi kwa mke wako?
  Ungewapa ndio ingekuwa basi tena?
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Prishaz: are you married?
  kama haijakutokea, woek hard isitokee. mwombe mungu sana na mshike mpenzi wako sana.
  Sometimes, bila kujua wana ndoa tunafanya makosa yanayotupeleka huko....
  ngoja tuwasikie wengine...
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hata sijui kwanini nilikuwa nawatafuta! nisingeweza kukata uhusiano wangu wa sasa kwakuwa mtu niliye nae ananipenda na mimi nampenda.
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135


  This is very important. kwenye hii frasturation cha maana ni nyinyi kama wapenzi kubali mnapendana! Kama hakuna mapenzi kabisa, basi ndoa inaweza kuvunjika.
   
 8. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi hayalazimishwi,mpaka uanze kutafuta watu uliowapenda zamani,na kumwacha mkeo uliekuwa nae,c vyema.kupenda mlipendana,ila mafarakano yanapotokea mara nyingi tunakimbilia nje ya ndoa zetu.sasa hao wa nje wanatusaidia nini?

  Tupendane.

  Inauma sana,kumtendea hivyo,either mkeo au mume.

  Hata kwa wachumba pia,c vizur kukosana na mtu,halafu unaenda kurudia wa zamani.tuwe makini katika hili.
   
 9. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ilishawahi kunitokea baada ya kugombana na wangu, nkawamisi wale ambao walikuwa wanipenda kwa dhati na sikuwapa chansi kabisa maishani mwangu!!!!
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nadhani hii thread haijaeleweka.
  Searching for the one you have loved before ina maana kuwa UNAJIULIZA KAMA HUYO MWANAMKE/MWANAUME NILIYENAYE NDIO YEYE NILIYEKUWA NAMPENDA ZAMANi? MBONA AMEBADILIKA S ANA?

  jamani na sio kuangalia nje ya nyumba zetu, no, searching for the traces of love from your husband/wife!
   
 11. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hindsight is always 20/20....and with that in mind a man/woman who finds theselves in such a situation will have to say that their choice myt could have been better......mara nyingi bwana mabo yakikolea ni wachache san wanaweza kuuangalia kwa undani yule mtu...emotions cloud judgment
   
 12. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekoma.Belivdat
   
 13. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hizo frustations ndo zinanifanya niogope kuoa
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Usiogope, you have to learn to overcome them....
  Do you think you are better off without marriage?
   
 15. U

  UZEE MVI Senior Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  OKADA, THANKS FOR THAT CHANGAMOTO. MIMI HAIJANITOKEA, Lakini imeawatokea watu wengi sana katika jamii yetu. Nadhani nimekuelewa vizuri. Ni bahati mbaya/NZURI kwa wenzangu wakristo kwa sababu ndoa haikomi mpaka kifo kiwatenganishe. Therefore what ever happens in your marital life should be treated in such a way that should remain in existence.

  Kwa maelezo uliyoyatoa naamini kwamba hiyo hali itakuwa inawaathiri wanandoa wote wawili. If I read your post between lines i find the solution to be somewhere between the lines. What i see and suggest is this: Find time (enough time, when all of you two are free) and place (mahari fulani mbali na nyumbani, paweza kuwa na bustani ya maua mazuri au beach, whichever you can choose), hapo mkifika muwe kama mnaanza upya mada ya mapenzi. tengeni mazingira ambayo kila mmoja wenu atakuwa free kuongea chochote. Nafasi ya hasira na visilani iswepo kabisa.

  Feel free to ask your spouse if there was a time in life you had hurt him/her, you should be ready to confess.

  Kila mmoja wenu awe tayari kufanya mabadiliko fulani kama outcome ya majadiliano mtakayoyafanya huko.  Nadhani hii inaweza kusaidia kidogo.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mmenikumbusha watu wanaooa kwa harusi kabisa watalaka wao. Tz nadhani mchungaji atawakatalia kuoana upya
   
 17. Cyclone

  Cyclone Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What I know z that, you may search for your pasts for a goodwill, not necessarily uwe kwenye hard time na siyo kataka kurudisha mahusiano, bali ni kujiridhisha tu kwamba they are doing good and pray for them to be in safe hands, coz ki ukweli sometimes you may find yourself katika mawazo flani and smiling about those past moments ::Na alwayz intention ya hii siyo kumcontact bali nikujua how he or she z moving on with this life after a long time:: Kama hauta msearch basi katika story na bests zako mara chache utakuwa unamtaja, dah miaka hiyo mimi na flani bwana... hii inawatokea akina dada zaidi but chondechonde keep it away from your current life it will ruin you badly, hata kama ninafaham hivi kwa kweli wivu uko palepale kwa mamito, aweke mbali kabisa hii
   
 18. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nadhani watu wanakosea.. hakuna kitu kama hiki kuwa nilimpenda fulani..Mapenzi ni maisha.. upendo ni matokeo ya maisha, hivyo huwezi kujua kama kuna Love kabla hujaanza maisha..unaweza tu kuhisi kuna upendo..lakini Game ya maisha ndio itasema ukweli..

  Unapoamua kuoa nenda na worst Scenario..i.e. there is no love but a sacrifice to live..hence, kama utapata love 15% you should be fine!
   
 19. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  This is master peace! Thanks
   
Loading...