Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Ushakutana na danga la kishua wewe??
 
Fact
 
Leo Nme sikitika sana mdada wa 26 hana kazi yupo home tu kuomba 150k nika jua ya kufanyia issue ya maana .ana kuja kusema niya nguo ,wig na zawadi kwa ajiri ya harusi πŸ₯²πŸ₯²πŸ«‘🫑
 
Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa hata usisumbue akili wala nafsi yako, na akinuna akatishia kuondoka mfungulie mlango aende.
NONDO TUPU
The key is to put your plans first and chase money, striving to satisfy a woman will not add anything significant in your life.
BAKARI NONDO MKUU, uzi una madini matupu.
 

nakaziaapo kweny mpakwa mafuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…