HATUTAWEZA KUFIKA SAFARI YETU KAMWe..................

sawa kila kitu kitaishia hapa nae Mungu kaamua kwenda na digital wapi Gadaf libya
 
TUMEKUJA BILA KITU, NA TUTAONDOKA BILA KITU. Heri wao wanaoweka hazina mbinguni ambapo nondo na kutu hawawezi kuziharibu kuliko wao wanaoweka duniani ambapo madumadu na nondo wanaziharibu.......
 
TUMEKUJA BILA KITU, NA TUTAONDOKA BILA KITU. Heri wao wanaoweka hazina mbinguni ambapo nondo na kutu hawawezi kuziharibu kuliko wao wanaoweka duniani ambapo madumadu na nondo wanaziharibu.......

Lakini ndio tutaendelea kuhenyeka mpaka ifike hiyo siku ya kupata haki mbinguni..
Mwenzio hajali hayo,anachojali ni kuwa anapata na ataendelea kupata mpaka ifike hiyo siku ya malipo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
yaani miln 50 ya chakula tu..mweh mweh mweh, ya ada etc itakua ngapi?
 
...hizo mbona ndogo mkuuu, nimeshuhudia dili la kigogo mmoja mpaka nikashika kichwa, na ile tenda ilipigwa mara kadhaa mpaka alipoondoka wizara ya afya,n ami niliacha kazi kwa iyo kampuni,inawezekana bado wanapiga na vigogo waliokuja upya...
 
TUMEKUJA BILA KITU, NA TUTAONDOKA BILA KITU. Heri wao wanaoweka hazina mbinguni ambapo nondo na kutu hawawezi kuziharibu kuliko wao wanaoweka duniani ambapo madumadu na nondo wanaziharibu.......

Failure of MAN to get solutions to his problems, he seeks some solution in super natural powers, hence the question of GOD!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…