Hatutaruhusu kura yetu kuibiwa Igunga - CHADEMA

Wananchi wa Igunga ndio hao siku Rostam alipobwaga manyanga walilia na kusaga meno na kuzirai. Nina imani watachagua magamba tena
<br />
<br />
Wana waliliaga wahindi,waarabu na wairan hiyo ngozi nyeusi hawaifagilii kabisa.
 
Kunguni hao, wameibiwa za urais, wameibiwa arusha za umeya, wameibiwa za ubunge nyingi tu hawajafanya kitu sasa watafanya nini igunga? wataibiwa na wataendelea tu kulalamika kwenye keyboard hawana kitu Kunguni.
 
Are u serious mkuu? Mtu alipwe kwaajili ya kulia na kuzirai?? Basi ina maana kwenye misiba mingi siku hizi ukiona waliaji ni wengi kumbe wengine wamelipwa!!! Ha!
<br />
<br />
ndugu hufahau kuwa kunavikundi vipo kwa ajili ya kulia na kuimba misibani na vinakodishwa?pesd mkubwa ni haramu.
 
CDM inapaswa kulinda kura zake and they have to wake as a team wakianza majungu wamekwisha
 
Kunguni hao, wameibiwa za urais, wameibiwa arusha za umeya, wameibiwa za ubunge nyingi tu hawajafanya kitu sasa watafanya nini igunga? wataibiwa na wataendelea tu kulalamika kwenye keyboard hawana kitu Kunguni.
Haya maneno ni ya watawala waliolewa madaraka hata Gaddafi alikuwa anawaita waasi 'rats' leo yeye ndiye amekuwa panya wa kujificha kwenye mashimo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom